Jumapili, 15 Januari 2017

WABUNGE WAMSUSIA TRUMP




Baadhi ya wabunge wa chama cha Democratic, wamesema hawata udhulia uhapisho wa rais mteule bwana TRUMP unaotalajia kufanyika Ijumaa ya wiki hii, baada ya kumkosoa John lewis (pichani) aliehoji juu ya ushindi wa bilionea uyo, aidha John lewis anaaminika sana na kukubarika kwa mambo ya haki za binadamu na serikali nzima, Donard trump anaonekan kua mkolofi sana hali inayolelekea watu kumchukia bilionea uyo fujo zake co kuongea tu bali adi mahusiano yake kwan adi sasa ashakua na wake watatu  tofaut Ivana Trump, Marla Maples na Melania Trump kigoli wa sasa wa bilionea uyo  na wote kazaa nao

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni