Jumatano, 25 Januari 2017
GOOGLE NA TEKNOLOJIA YAKE MPYA YA MAGARI
Kampuni ya Google maarufu sana dunia, kwa mambo ya mtandao imejiingiza katika uwekezaji wa magari, magari hayo yapo kiteknolojia zaid kwan n gari linaloweza kuendeshwa bila ya dereva na lina uwezo waku sense vitu mbali mbali, kama magari ya polisi, ajali mbele na ata hatari inayoweza kutokea, Gari hili linatumia kompyuta kuendeshwa ata ukiwa ndani ya gari hilo hutumii usukani utatumia compyuta, uwekezaji huu umeleta CHANGAMOTO kubwa kwa makampuni kongwe nchini Marekani,..
Moja ya Kampuni ambalo limeonekana kuguswa na jambo hilo n Kampuni maarufu ya Ford, ambayo nayo imeahidi kuingiza sokoni gari zake aina iyo kwa mmujibu wa jarida la Fobes nchini Marekani, Ukuaji wa teknolojia umekua ukikua siku adi siku, ambapo umeelekea nchi zilizoendelea kua na changamoto sana katika biasharA za
Jumamosi, 21 Januari 2017
BILLIONEA KATIKA MAKAZI MAPYA
Wengi wanasema si rais mzuri kwani amekua akiwasema vbaya wanawake na hata watu weusi ambao kama walimsusia ivi, kwan asilimia kubwa ya watu waliokuepo walikua n wazungu wenyewe na wageni wengne, ametangaza kuanza Kazi lasmi Tarehe 23 /01/ jumatatu izi siku za mwisho wa wiki watu watumie kusherekea ushindi wake, pia rais aliepita ametuma maombi kwa wananchi wa Chicago kuwaulkza km wangependa awafanyie chochote, kwa kua sasa n raia wa kawaid kama raia wengne..
Kundi kubwa la wanawake zaidi ya lakimbili wanatalajiwa kufanya maandamano ya Aman jumamosi ya Tarehe 21 /01/ kumkosoa na kauli zake na kukumbusha ikiulu n mahali patakatifu na sio pango la walanguzi,
Alhamisi, 19 Januari 2017
CHA NYUMBANI ICHOOOO, WAMCHANGANI NA WAKIMATAIFA
Wamchangani haoooo kwenye ubora wao wako vizuri saiv ila ubora unhethibitika Zenji wamelegeza kamba uko sasa wanarudi kwao ya nyumban, 2016/2017 VODACOM PREMIER LEAGUE tunasubiri sisi watazamaji Mungu ibariki #Tanzania Mungu ibariki #Africa
KUMBE DODOMA NZURI KULIKO
Dodoma iyooo makao makuu ya serikali kiukwel panafaa kua makao makuu ya serikali pazuri ki muonekano na ata hali ya hewa ukiwa Dodoma, unaona tofaut ya asubuh, mchana na usiku yaan ucku unajua kwel usiku umefika kuna hali ya hewa flan iv kama umetoka Dar lazma uwahi kuoa kutokana Na kiubalidi fulani iv, mwaka jana Septemba Dr John Pombe Magufuli aliiambia serikali inabidi ihame na kwenda Dodoma kwan ndio makao makuu ya serikali kutokana Na kua ndo Center ya Tanzania kiukwel ukiwa Dodoma ni rahis sana kufika sehem yoyote Tanzania ata mpangilio wa miundo mbinu co sawa na jiji lolote adi kufika mwaka huu mwezi wa pili inabidi serikali iwe kule kwan ata kampuni lililopewa jukumu la kuboresha miundo mbinu CRCC chini ya mwenyekiti wake bwana Fengchao Meng adi mwezi wa Pili mwaka 2017 wanajukumu la kusogelea malengo ya serikali kwa hatua kubwa ili iweze kuhamia uko mapema, Wanao tarajiwa kuhama ni Mawaziri na Manaibu wote na ofisi zote za Tamisemi zimeagizwa kupeleka makao makuu huko mapema mwaka huu, pia kuna ujenzi wa uwanja mkubwa wa kisasa wa michezo, ikumbukwe wazir mkuu Kassim Majaliwa kasema tayar kashaamia Dodoma Mungu ibariki #Tanzania Mungu ibariki #Africa
Jumatatu, 16 Januari 2017
UTANI WA JADI
Kazi unogeshwa na dawa mpira unogeshwa na utani na masihara kidogo japo kwa wengne hupenda kusema watu ila awapend kusemwa ndo mpira ulivyo, kla mtu utamani ashinde kila siku, kwa nchini kwetu uhacmu upo Simba na Yanga, uwa nafurah mechi zikiisha vijembe vya mashabiki na wadau hakika kila kitu kinawenyew ndo maaana ckuiz tuna Bet
ARSENAL KUA CHINI YA DANGOTE
Tajili namba moja AFRIKA Aliko Dangote kutoka Nigeria mmiliki wa Dangote Group yenye kusifika hasa hasa kutoa Saruji yenye mabao makuu uko Nigeria ndio inayompa utajili na kumfanya bilionea ivi karbuni amefanya uwekezaji wa hali ya juu sana Nchin Tanzania kwa kujenga kiwanda kikubwa sana Katika mkoa wa Mtwara na kufanya Tanzania kua nchi yenye kiwanda kikubwa sana ukanda wote wa Afrika Mashariki na Kati, pia Bilionea uyo inasadikika kua mwaka 2016 amepoteza zaid ya Dolla Billion 4.4 kutokana Na kushuka kwa Saruji Nigeria, Bilionea uyo shabiki mkubwa wa Arsenal, ameahid kuinunua timu iyo baada ya miaka minne au mitatu na kusisitiza kua pesa kwake si tatizo kabsa katika kipind cha TV alichofanya Nchin Nigeria,, kwa muujibu wa orodha iliyotolewa na Bloomberg New York Nchin Marekani inaonyesha anautajili wa Dolla Billion 10.9 ambao unamuwezesha kabsa kumfanya chochote na kununua chochote Dunia hapa ameahid kuinunua timu iyo kwan yeye n shabiki mkubwa sana wa Arsenal,,,, Aliko Dangote Muislamu kutoka Nigeria alizaliwa 10/4/1957 pia kiwanda chake Tanzania ndio kinaongoza kwa kumiliki magari mengi na k
USHINDI WAANZA KUONEKANA GABON
AFCON imeanza kunogA uko GABON, Algeria na Tunisia zilitoka sale ya mabao. Mwili kwa. Mawili mechi ilkua ngumu na kwel siku zote mwanzo mtamu mechi ilikua ngumu pande zote kwingineko Senegal waliichalaza Tunisia mabao Mawili kwa bila , ivyo mechi hizo zimekamilisha michezo ya kund B, ngoma bado tamu na ngumu pande zote michezo itaendelea kwa kundi C, kaa na infomer wako LUI nkupe stori njema
Jumapili, 15 Januari 2017
AFCON GABON NGOMA BADO NZITO
Kombe la mataifa AFRIKA mechi zilizokwisha pgwa, ila ngoma bado ngumu kwa kila timu kwani droo zimetawala na kila timu inaonekana kujiandaa vizuri
BAADA YA MUNGU Ni MZUNGU TEKNOLOJIA INAKUA KWA SPEED KILA SiKU CHECK HII
Ukuaji wa teknolojia umekua ukikua siku adi siku, na kurahisisha vitu vingi sana, teknolojia inakua kwa speed sana hasa kwenye nchi zilizoendelea kiuchumi, mpango wa nchi zilizoendelea ni kwamba kufika mwaka 2050 watu wawe manaongoza tu na co kufanya chochote yaan kila mtu awe meneja na mashine zifanye kila kitu, teknolojia sasa imekuja na saa ambayo inaweza kutumika kama simu na kifaa chakuifadhia vitu pia kwan inaweka memory care na lain pia na uwezo wakuunganisha na simu aina yoyote windows, I phone Android na simu yoyote yenye uwezo wa bluetooth zimeshafika Tanzania ukiitaji nichek
WABUNGE WAMSUSIA TRUMP
Baadhi ya wabunge wa chama cha Democratic, wamesema hawata udhulia uhapisho wa rais mteule bwana TRUMP unaotalajia kufanyika Ijumaa ya wiki hii, baada ya kumkosoa John lewis (pichani) aliehoji juu ya ushindi wa bilionea uyo, aidha John lewis anaaminika sana na kukubarika kwa mambo ya haki za binadamu na serikali nzima, Donard trump anaonekan kua mkolofi sana hali inayolelekea watu kumchukia bilionea uyo fujo zake co kuongea tu bali adi mahusiano yake kwan adi sasa ashakua na wake watatu tofaut Ivana Trump, Marla Maples na Melania Trump kigoli wa sasa wa bilionea uyo na wote kazaa nao
Jumamosi, 14 Januari 2017
MWANZA kaMa BRAZIL Rock CiTY kaMA RIO DE JANEIRO
Mwanza huitwa Rock Cty kutokana Na miamba mingi katika jiji, hasa katikati ya jiji karbu milima yote iliyo mjini imejengwa kwa makazi ya watu, mgeni yoyote akija Mwanza hushangaa sana japo kwa wazawa ni kawaida sana na wanachukulia poa kama picha znavyoonyesha, nlishawah kumckia mgeni m1 alikua ametoka Dar akiulza "Iv zle nyumba znajengwaje na wanaishije wale" kwa mgeni lazma ushangae sn. Muonekano mzuri mkoa mzuri, hufanya mkoa huu kua na hali ya hewa nzuri sana, wazawa walipaita Nyanza kutokana Na ziwa Victoria (kisukuma Nyanza ni Ziwa) but Wajeruman enz ya Ukoloni walishndwa kuita Nyanza na kujikuta wanaita Mwanza ndo mpaka leo hilo n jina linalotumika sn, muonekano wa nyumba kwenye miamba kama Rio de janeilo (BRAZIL)
AFCON NDANI YA GABON IYOOO
Michuano ya AFCON mwaka 2017 inayofanyika #GABON ufunguzi umefanyika Tarehe 14/01/ fainali izi znategemea kua nzuri kutokana Na kila timu kujiandaa vizuri ukanda wetu umekosa timu kutuwakilisha ila Mungu c adhuman kijana wetu Diamond amebeba bendela yetu na kubaatika kuwa mmoja wa watumbuizaji katika ufunguzi huo, inabidi tujifunze chochote angalau mwaka ujao tuweze shiriki na sisi co kufukuza makocha na kubebeshana lawama wenyewe kwa wenyewe Mungu ibariki #Tanzania Mungu ibariki #Africa na
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)
























