Ijumaa, 3 Februari 2017
NYERERE NA UJAMAA UBEPARI NA MAGUFURI
Mambo mengi yametokea toka nchi ya Tanzania ipate Uhuru, Mwalimu J. K. Nyerere alikua mkombozi mzur sana katika Taifa letu na tunamshukulu sana kiukweli mazuri ni mengi sana aliyotufanyia, nchi yetu toka kwa Uingereza disemba 9,1961, ilikua n mapinduzi ya Amani kabsa na yalikua ni makubaliano baina ya Mwalimu J, k Nyerere na Malkia wa Uingereza kua ikifka Tarehe 3 12 1961, atakabidhi nchini ya Tanzania kwa Wa Tanzania Mwalimu alijitahidi sana kutuandaa,, kwa kuzunguka nchi nzima, kuakikisha, tunajiandaa VYEMA kupokea Uhuru wetu na kujiendesha wenyewe ikumbukwe Adi Tanzania inapata Uhuru ilikua na wasomi 15 tu, km watu waliosomea vitu mbali mbali na pekee ambao walikua wanaweza kuandika na kuongea kiingereza vizuri...
Ilikuepuka mambo ya ujamaa ilimpidi Mwalimu kuanzisha vijiji vya ujamaa nakujitegemea kuepuka watu kijitenga na kujibagua pia ilimbidi atumie kiswahili km lugha ya Taifa letu kwani Tanzania kuna makabila zaid ya 120, ambapo kila kabila lina lugha yake na ustaalabu wake, pengine asingetumia lugha moja na sisi leo tu ngekua kama Nchi nyingne zinazopambana kisa ukabila au, aliweka sera pia ya kumruhusu kila raia kua na changuo la dini pia, kila mwanafunzi alitakiwa asome mkoa wa mbali ili ajifunze mambo ya jamii nyingne nchini kwake..
Ujamaa ulikua mzuri sana na kila kijiji kijiji kilijitegemea kwan kila kijiji kilizalisha vyakula vyakutosha na kila mtu alitumia bidhaa za Tanzania tu, mnamo mwaka 1978 Nyerere alitangaza hali ya Hatari ya Vita na Iddi Amin Dada wa Uganda hali iliyoharibu hali ya hewa ya Watanzania kwani vijiji vyote vilisitisha kuzalisha na vijana kama nguvu Kazi, ndio walikua wanategemewa kwenye mapambano na ndio nguvu Kazi pia, kiukweli Vita (1978__1979) ilisimamisha na kuendesha sana uchumi nchini Tanzania, ilipofika mwaka 1983 hali ilizidi kua mbaya kwa raia hali iliyopelekea Mwalimu kuanza kuomba msaada nje ya Nchi, kumbuka Tanzania ilikua inatumia mfumo wa ujamaa kuendesha nchi na nchi nying zinasera ya ubepari, Ivyo ili usaidiwe na bepali lazima uwe bepali
Kufika mwaka 1984 Mwalimu hali ya nchi haikua nzur kabsa njaa ilikua ni kubwa sana, akaamua kuachia madaraka na kumkabidhi Ally Hassani Mwinyi japo haikua kwa kupenda pengne is ingekua ivyo na yeye asiachia madaraka km marais wengne wa AFRIKA kwani ubepari ni wa awamu kwa awamu, inapofika mwaka 1992 nchi inaruhusu vyama vingi,,,, Swali ni Je is ingekua Vita ya kagera Mwalimu asingeachia madaraka mpaka leo tunapokezana na siasa ya uongo na kwel, #munguibarikiTanzania #MunguibarikiAfrica
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni